Arifa
1

Arifa.

Pata taarifa za matangazo na mabadiliko mapya kutoka CHIMBO.

MAONESHO YA TISA KITAIFA YA TEKINOLOJIA YA MADINI-GEITA

18 siku zilizopita Mpya Kipaumbele cha Kati
Ofisi ya mkuu wa mkoa wa Geita inawakaribisha wachimbaji wa madini, kampuni, taasisi na wauzaji wa bidhaa za madini wajasiliamali na wananchi wote kushiriki katika maonesho ya tisa ya kitaifa ya teknolojia ya madini, kuanzia tarehe 23 Septemba hadi tarehe 3 Oktoba, 2026 katika viwanja vya Dkt. Samia Suluhu Hassan, Manispaa ya Geita" kauli Mbiu Madini ni Utajili tuwajibike pamoja ya kufikia dira ya taifa 2050." Maonesho haya yatafunguliwa na Mh: Dkt. Hussein Ally Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na yatafungwa na Mh:Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Maonesho haya yataambatana na utoaji wa huduma za afya bure kwa wananchi , kutoka kwa watalaamu wa hospitali ya Benjamin Mkapa, MOI na NHIF. Lakini pia wananchi watapata huduma ya msaada wa kisheria kutoka Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na pia kutakuwa na vivutio vya wanyama pori na michezo ya watoto ili kushiriki, tembelea tovuti yetu ya www.madinigeita.co.tz au wasiliana nasi moja kwa moja, kupitia simu namba 0 7 9 32 62 34

IMARA CO VENTURES LIMITED Tutashirki Maonesho haya Usipange kukosa tutakuwa na bidhaa mbali mbali kama vile chimbo app and web app ,n.k